177. Nitakase, Unishike
1. Nitakase, unishike, nifunike, unilaze!
2. Nipe kuwa mpole, mwema! Tupatane sikuachi.
3. Niwe wako peke yako! Nakuita, nakupenda.
4. Uliteswa, ulikufa; wanifia mimi mwovu.
5. Ulitaka kuponya, kutufanya watu wapya!
6. Wewe pekee mponya wangu; mkono wako unishike!
Comments
Post a Comment