173. Yesu Mkononi Mwako



1. Yesu mkononi mwako, nitalindwa vema. Raha bora Napata kw aupendo wako. Nawe kwa sauti tamu waniita mimi: wacha tu nguvu yako, kwangu ni raha kuu. Yesu mkononi mwako nitalindwa vema, raha bora Napata kwa upendo wako!


2. Yesu mkononi mwako sioni taabu. Shetani nguvu zake haziwezi kwako. Shaka na woga kwako zinakosa nguvu, na majaribu yote nayashinda pia. Yesu mkononi…………


3. Umenifia Bwana, nakukimbilia. Wanishika milele, nakutegemea. Nakungojea hapa na giza liishe, mchana wapambazuka na kwako milele. Yesu mkonini……………


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu