171. Nimepita Ulimwengu
1. Nimepita ulimwengu, ulimwengu ni mzuri, lakini natamani ulimwengu mwingine.
2. Nimeona watu wengi, hutafuta daima, maisha yao yote, ndiyo taabu na shida.
3. Imebaki hali njema ya furaha ya roho; hubirini pote pote; taabu itatulia.
4. Msalabani pa golgota jerahani mwa Yesu ni mahali penye raha kwao wote kabisa.
Comments
Post a Comment