169. Rafiki Bora Yu Mbinguni



1. Rafiki bora yu mbinguni, duniani rafiki haba, sababu hapa mapatano yanavunjika upesi. Kwa hiyo mimi nasema; rafiki bora ni Yesu


2. Dunia ni kama utete! Yesu ni Mwamba wa nguvu. Ningeachwa na watu wote, yeye haniachi kamwe. Kwa hiyo,…………..


3. Maisha yake ametoa, name ninajitoa kwake,. Anipenda bila kuchoka, ashinda hata kaburi. Kwa hiyo……………


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu