167. Ni Siku Kuu Siku Ile



1. Ni siku kuu siku ile ya kumkiri mwokozi! Moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi. Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu. Hukesha na kuomba tu, ananiongoza miguu. Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu.


2. Tumekwisha kupata mimi wake, yeyey wangu, na sasa nitamwandama, nikiri neno la Mungu. Siku kuu!


3. Moyo tulia kwa Bwana kiini cha raha yako, huna njia mbili tena; Yesu ndiye njia yako. Siku kuu!.........


4. Nadhiri yangu ya mbele nitaiweka daima, hata ije siku ile ya kuonana salama, Siku kuu!


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu