166. Wamwendea Yesu
1. Wamwendea Yesu kwa kusafishwa, na kuoshwa kw adamu ya Kondoo? Je neema yake umwagiwa? Umeoshwa kw adamu ya Kondoo? Kuoshwa, kwa damu itutakasayo ya Kondoo, ziwe safi nguo nyeupe mno; umeoshwa kwa damu ya Kondoo?
2. Wamwandama daima mkombozi na kuoshwa kwa damu ya Kondoo? Je, waishi kwake msulibiwa? Umeoshwa kwa damu ya Kondoo? Kuoshwa,…………….
3. Atakapokuja Bwana arusi uwe safi kwa damu ya kondoo. Yafae kwenda mbinguni mavazi yafuliwe kw adamu ya kondoo. Kuoshwa………….
4. Yatupwe yaliyo na takata, na uoshwe kwa damu ya Kondoo. Huoni kijito chatiririka na uoshwe kwa damu ya Kondoo? Kuoshwa,…
Comments
Post a Comment