161. Watumwa wa Yesu



1. Watumwa wa Yesu jitayarisheni, shikeni Neno la Yesu kasha kila siku.


2. Tengenezeni taa, wekeni mafuta, jifungeni muwe mbele, hata kukimbia.


3. Omba usikome ninakuja sasa, angalia nawaonya, hima njooni kwangu.


4. We utaokoka kwake, ukikaa kwake, kutazama uso wake utavikwa taji,


5. Bwana huandaa wateule wake, awachukue mbinguni, karamuni mwake.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu