152. Mahali pa Raha



1. Mahali pa Raha ya moyo wapi? Akukingiaye mabaya nani? Dunia haina makimbilio, nisiposhindwa na makosa yangu. Sipo, sipo hapa sipo, mbinguni ni ngome ya moyo wangu.


2. Iache dunia, uone ngome, unapofurahishwa moyo wangu. Ni yerusalemu unaojengwa na mawe mazuri ya dhahabu tu. Ndiko, ndiko, ndiko ngome na makimbilio ya moyo wangu.


3. Mwangani kwa Yesu ni raha tamu, hakuna sana, Yesu, nipeleke juu.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu