149. Chini ya Bawa Lako



1. Chini ya Bawa Lako, ee Yesu nifiche unipe raha kwako kwenye mambo yote. Na uwe yote kwangu, hekima, shauri, na siku zangu zote niwe na amani.


2. Nisamehe makosa nioshe kwa damu, unipe nia safi na mapenzi mapya. Wakubwa na wadogo ututunze sote, na kwa amani yako tupate furaha.

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu