142. Vyenye Uzima Vimtukuze
Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze bwana,
vimtukuze, vimtukuze, vimtukuze, hata na utakatifu wake.
Kwani ameumba mbingu na nchi.
Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana.
Na magunda na mazeze na filimbi na vilangwi na vinanda na vimtukuze!
Vyenye uzima na viimbe,
vimtukuze Bwana!
Na magunda na vinanda vyote vimtukuze ee Bwana wa majeshi! Haleluya!
Comments
Post a Comment