131. Siku ya Furaha (Tuliyoletewa Roho)
1. Siku ya furaha, siku ya uzima, tuliyoletewa na roho:/ Yesu anatupa Roho mtakatifu! Furahini, furahini Wakristo!:/
2. Siku ya furaha, siku ya uzima, tuliyoletewa Roho:/ Roho wa neema ukatuongoze! Furahini Wakristo! :/
3. Siku ya Furaha, siku ya uzima, tuliyoletewa Roho wa neema Furahini, furahini Wakristo! :/
Comments
Post a Comment