130. Ee Roho Uje


1. Ee Roho uje, ee Bwana, ujaze kipaji chako, kwao uliowakusanya washa moto wa upendo!  Umetuita mwangani, tuwe umoja pendoni, tulio wa ulimwengu, kwa hiyo daima twakusifu. Haleluya, Haleluya.


2. Mtulize moyo Mtukufu, tuagize, Neno lako lifundishe kumtambua Mungu na kumwita Bana. Umetuita…


3. Vitani tupe upozi, kituo cha kutulia. Na tusiogope ukali wa adui na wa mwili. Umetuita…

Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu