13. Salamu, Yesu Bwanangu
Salamu, Yesu Bwanangu
Wewe uzima wangu
Nimekujia, naleta
Vyote ulivyonipa:
Ni moyo na mwili wangu
Ndiyo heshima yangu.
Umezaliwa Bwanangu
Kwa ajili ya mimi;
Umenipenda kabisa,
Umenipa wokovu.
Tangu mimi sijaumbwa
Umenitengenezea
Ukombozi wa moy.
Uvuli mzito wa mauti
Ulinifunika:
Umenitokea jua,
Waniangaza moyo.
Wewe bwana umenipa
Nuru, raha na uzima.
Nakushukuru Bwana.
Comments
Post a Comment