124. Mbinguni Nani?
1. K: Mbinguni nani? W: Mbinguni amepaa. Ni Yesu kwa Baba. K: Akawa wapi? W: Akawa kwa watu, wamtia maumivu, akayalipa madeni makubwa, na Mungu ampaza; Aha! Mtawala!
2. K: Wenzangu nani? W: Wenzangu waenda, waenda mbinguni. K: Na tuwe kwa Yesu, aliyetulinda. Hapa duniani. Sasa tunamsifu Mwokozi wetu Mkuu aha, yuko juu!
KUIMBA KWA KIFUKUZANO
1. Mbinguni nani, Mbinguni amepaa ni Yesu kwa Baba, akawa wapi, akawa wapi, akawa kwa watu, wamtia maumivu, akayalipa madeni makubwa, na Mungu ampaza, aha, mtawala
2. Wenzangu nani, wenzangu waenda, waenda mbinguni, na tuwe wapi, na tuwe wapi, na tuwe kwa Yesu aliyetulinda hapa duniani, sasa tunamsifu, Mwokozi wetu Mkuu aha, yuko juu.
Comments
Post a Comment