121. Mwokozi Wetu Amepaa



1. Mwokozi wetu amepaa mbinguni! 

Neno hili linatufariji sasa katika woga wote. 

Kikiwa kichwa mbinguni,

 hata viungo vyafika alikokwenda yeye.


2. Mwokozi wetu amepaa mbinguni, 

mwenye nguvu mbinguni nitapokewa nitengemane kweli. 

Sababu hii ninataka kufika pale alipo Mwokozi wangu Yesu.


3. Mwokozi wetu amepaa mbinguni! 

Nakuomba Mwanangu!

 Nisaidie nikutegemee weee. 

Nikufuate daima mwisho nifike kwako juu nikiacha dunia.


Comments

Popular posts from this blog

72. Tumesikia Mbiu

51. Yesu Ndiye Kiongozi Wangu