120. Ameingia Mbinguni
1. Ameingia mbinguni. Haleluya Kristo mwenye utukufu. Haleluya.
2. Akaa kitini kwa Mungu Haleluya! Mkuu wa dunia na mbingu. Haleluya!
3. Sasa limetimilika. Haleluya! Agano lote la kale. Haleluya!
4. Mwana Daudi, Mfalme mkuu. Haleluya! Sasa ni Bwana wa wote haleluya!
5. Sababu hii tumsifuni. Haleluya! Yesu Mwokozi wetu mkuu! Haleluya!
Comments
Post a Comment